mzuri kweli

moyo wangu umepaa,

umetumbukia majini,

kwenye kisiwa kilichoko angani,

mawingu yamenitapika,yamenizaa,

nimeamini,amani ya upepo imenipuliza,

imenituliza na nimeiskiza,

samani ya uzuri,

uzuri wa jicho pevu la mazingira,

limenizingira,

limenifufua ardhini,

duara hili llimenirausha usingizini,

sitasingizia tena,

nitatenda tu sitanena,

siri nilizoangukia,

nitauangazia uzuri huu,

sitaukanusha,sitaupindukia

Advertisements

be sure to purge (thoughts,ideas,complaints) if at all you feel the nudge

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s